Je, ninawezaje kuwasiliana na Huduma kwa Wateja?

Vituo vya Huduma kwa Wateja vya Konnect vipo hapa kukusaidia ili uweze kupata huduma iliyo bora ya intaneti kupitia satelaiti.

Utapata taaria za mawasiliano na muda wa kazi katika nchi yako kupitia hapa chini.

AFRIKA

Kongo Brazzaville:
Jumatatu-Ijumaa 9am - 5pm na Jumamosi 9am - 1pm
WhatsApp : +243 834 700 500

DRC:
Jumatatu-Ijumaa 9am - 5pm na Jumamosi 9am - 1pm
WhatsApp : +243 834 700 500

Pwani ya Ivory:
Jumatatu-Ijumaa 9am - 5pm na Jumamosi 9am - 1pm
WhatsApp : +243 834 700 500

Tanzania:
Jumatatu-Jumamosi 9am - 6pm
WhatsApp : +255 759 886 644

ULAYA

Austria:
Jumatatu hadi Jumamosi, 9 am - 6 pm
Simu: 0720 228 796 (gharama za kupiga simu ndani ya nchi ni kulingana na mtoa huduma wako)

Ujerumani:
Jumatatu hadi Jumamosi, 9 am - 6 pm
Simu: 05032 834 3008 (gharama za kupiga simu ndani ya nchi ni kulingana na mtoa huduma wako)