Tunapima kiwango cha kasi cha kifaa cha modemu na kifaa unachotumia katika kupata huduma ya intaneti
Kwa upimaji wa uhakika, tafadhali:
- Fanya upimaji ukitumia kompyuta iliyounganishwa moja kwa moja na modemu (kwa waya) na si kwa kutumia huduma ya WiFi
- Funga programu zingine zote za kompyuta wakati wa upimaji
- Tumia huduma ya speedtest pekee